Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Septemba, 2017

EWE MTANZANIA MWENZANGU JIFUNZE HAYA KWA KUEPUKA KUEPUKA KUGOMBANA NA MWENZIO

EXTRA STRAIGHT TALK:- Unaporusha rusha maneno ya kichochezi kuhusu kushambuliwa kwa Mh. Tundu Lissu bakisha maneno na tafuta Facts kwanza .... naomba nikukumbushe kwa FACTS .....Mauaji ya Waisilamu Mwembe Chai Mwezi May, Mwaka 1998 Rais hakuwa Magufuli!....Wakati wafuasi wa CUF Pemba wanapigwa mabomu Mwaka 2001 January na kuuliwa wafuasi wao 20 Rais hakuwa Magufuli ....Mwaka 2002 September 2, Muandishi wa Habari Daudi Mwangosi alipouliwa na Bomu Iringa Rais hakuwa Magufuli! ....January 5, 2011 Wananchi 3 waliuawa kwa Risasi za Polisi Arusha kuthibiti maandamano yasiyokuwa na kibali vipi Rais hakuwa Magufuli! ....June 28, 2012 Dr. Ulimboka alitekwa na watu wasiojulikana akiwa Leaders Club anapata supu asubuhi Rais hakuwa Magufuli! ....Mwezi May, 2013 Muandishi wa Habari maarufu Absalom Kibanda alipotekwa na kupigwa vibaya Rais hakuwa Magufuli....na June/2008 Makamu wa Mwenyekiti Chadema aliyekuwa anataka kugombea Uenyekiti wa chama hicho na kuishia kufariki kwenye ajali ya ajabu Dodom...

CHUKUA TAHADHALI

TAHADHARI KUNA JAMAA WANATEMBEA NA PIKIPIKI  WAKIONGOZANA KWA MBALI  UKIWA KWENYE FOLENI YA GARI  KAMA KIOO CHA GARI KIPO WAZI WANAKUTUPIA NYOKA WA PLASTIC HASA KWA WASICHANA KISHA PIKIPIKI NYINGINE INATAKA KUKUSAIDIA KAMA  UMEYUMBA AU UMEGONGA AU UMEPATA UJASIRI NA KUSHUKA NDIO  WANACHUKUA KILA WANACHOKIWEZA Hii imetokea gongo la mboto , buguruni , sinza na mbezi beach .mjulishe ndugu, rafiki yako asiache KIOO wazi !!!! Sent as received

Bofya hap

BOFYA HAPA KU INSTALL APP HII UPATE MATANGAZO YA KAZI KWA HARAKA  >>>>>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ajira.tanzania.ndyscydxzueatjzmvuwzq>>>>> BAADHI YA MATANGAZO YA KAZI HAYA HAPA >NAFASI 5 ZA KAZI-TPC LIMITED http://ajiratza.blogspot.com/2017/08/nafasi-5-za-kazi-tpv-limited.html >NAFASI YA KAZI PROCUREMENT MANAGER - CV PEOPLE (DAR ES SALAAM) http://ajiratza.blogspot.com/2017/09/nafasi-ya-kazi-procurement-manager-cv_1.html >TANGAZO LA KAZI-HEALTH CARE MANAGER-KP RECRUITERS http://ajiratza.blogspot.com/2017/09/tangazo-la-kazi-jealth-care-manager-kp.html >>TANGAZO LA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MOSHI http://ajiratza.blogspot.com/2017/09/tangazo-la-kazi-halmashauri-ya-wilaya_39.html >>NAFASI YA KAZI ELECTRICAL TECHNICIAN - SBL (MOSHI) http://ajiratza.blogspot.com/2017/09/nafasi-ya-kazi-electrical-technician.html >>NAFASI ZA KAZI-TELLERS-FINCA MICROFINANCE BANK http://ajiratza.blogspot.com...

TANGAZO TANGAZO TANGAZO STATIONARY MPYA YA SHOW ROOM ILIYOPO MAENEO YA MAJITA INATOA OFA KABAMBE KWA WATEJA WAKE

Picha
Ofa hiyo itaanza Siku ya jumatatu4sep2017 Mpaka tarehe mpaka tarehe20sep2017 Ndugu mteja fika of is in halo ujipatie huduma iliyo bora said ilikupata msaada zaidi wasiliana na mkurugenzi Wa SHOW ROOM STATIONARY ILIYOPO MAJITAROD mkabala na ililipo kuwa genge la zamani 0752711712