CHUKUA TAHADHALI

TAHADHARI

KUNA JAMAA WANATEMBEA NA PIKIPIKI
 WAKIONGOZANA KWA MBALI
 UKIWA KWENYE FOLENI YA GARI
 KAMA KIOO CHA GARI KIPO WAZI WANAKUTUPIA NYOKA WA PLASTIC
HASA KWA WASICHANA KISHA PIKIPIKI NYINGINE INATAKA KUKUSAIDIA KAMA
 UMEYUMBA AU UMEGONGA AU UMEPATA UJASIRI NA KUSHUKA NDIO
 WANACHUKUA KILA WANACHOKIWEZA

Hii imetokea gongo la mboto , buguruni , sinza na mbezi beach .mjulishe ndugu, rafiki yako asiache KIOO wazi !!!!
Sent as received

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Bofya hap

EWE MTANZANIA MWENZANGU JIFUNZE HAYA KWA KUEPUKA KUEPUKA KUGOMBANA NA MWENZIO